Kuna huu mtindo wa sikuhizi unakuta mtu amevaa suti au suruali vinang'aa sana na kuna mashati nayo huwa hivyo. wadau mnaionaje hii staili.
Ninampango wa kushona suti ya hivyo nahitaji kujua...
Habari zenu wakuu
Kwa wamama na wadada na wanaume, hapa nina swali eti ukiwa unaendesha gari ni yupi bora kuwa nae pembeni kati ya mpenzi ama mafrend?
1. Hapa namaanisha nani anakuamini ukiwa...
Habari wana Jamii forums
Naomba mnisaidie kwa yeyote anaefahamu asili ya haya majina ni ya asili ya kabila gani na wenyeji wa mkoa gani hapa kwetu Tanzania.
1.Mchaki
2.Msemwa
3.Malema
Na kama...
Muhaya alitangaza anatibu magonjwa yooooooote kwa tsh. 100000/=
Na kama akishindwa kukutibu angekurudishia laki yako na kukuongeza laki nyingine.
Basi MCHAGA akaona hii fursa ya kujipatia hela...
Kwa wanywaji wazuri wa bia, chupa ya kwanza huwa haileti hisia yoyote. Mnywaji humaliza chupa hiyo bila kuona matokeo yoyote zaidi ya kupoza koo. Na mara nyingi huwa mkimya, pengine huwa anasoma...
Niliandika thread kwaajilli ya kumhamasisha Lara 1 kwa pongezi na namna anaweza fanya zaidi, ajabu wengine wakadai ni gia ya mimi kumtongoza. Muulizeni kama ana PM yoyote kutoka kwangu au kama...
Hapan shaka wa tz
tumeendelea,tunamiliki vijigari kadhaa.
Hutokea mtu na my wife wake ku share gari.
Huongozana kazini toka majumbani.
Mara nyingine michepuko pia ina husika.
ukitaka kujua huu ni...
Ama kweli ukitaka kushinda game basi hakikisha mpira unakuwa kwenye half ya mpinzani. Iko hivi:
Jamaa alipanda daladala na kwa bahati akakuta siti ya watu wawili amekaa mdada mmoja mrembo...
Teacher: Jimmy, why arent you writing?
Little Jimmy: I dont has a pencil.
Teacher: Jimmy, thats not a correct sentence. The correct way is: I dont have a pencil; he doesnt have a...
Asante Jakaya Kikwete kwa kukuona na kukupa kiki ya namna hii.....nakupenda kwel ila kwa sasa naona hakuna njia naeza kukupata ila ya moyoni ni haya tuu.....nakupenda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.