Denicedion
Member
- Jan 11, 2015
- 33
- 7
SIONGEI ENGLSH TENA:
Amini usiamini ENGLISH ni Lugha ya wanyama
na ndege, kwani:-
PAKA:Ukimcheleweshea maziwa utasikia
anasema NOW, NOW!
NG'OMBE:Naye asiposhiba utamsikia
MORE,MORE!
MBWA:Ukipita karibu na kwao kama hakujui
lazima atakuuliza WHO,WHO!
KIFARANGA:Kikitotolewa utakisikia kikisema
NEW,NEW!
MBUZI: nao ni masharobaro kweli utawasikia
MEN,MEN!
Hii kweli hatari acha kujaribu kimoyomoyo soma kwasauti duu! ni shida.