visagold
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 327
- 177
Habari zenu wakuu
Kwa wamama na wadada na wanaume, hapa nina swali eti ukiwa unaendesha gari ni yupi bora kuwa nae pembeni kati ya mpenzi ama mafrend?
1. Hapa namaanisha nani anakuamini ukiwa kwenye msterling?
2. Nani hatakusumbua kwa maswali ya kero kama nani huyu kwenye simu?
3. Nani atakufanya uwe makini zaidi kati ya mafrend au mpenzi?