Michael Ngusa
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 1,637
- 463
Niliandika thread kwaajilli ya kumhamasisha Lara 1 kwa pongezi na namna anaweza fanya zaidi, ajabu wengine wakadai ni gia ya mimi kumtongoza. Muulizeni kama ana PM yoyote kutoka kwangu au kama huwa naonekana kwenye post zake ku cc na kadhalika.Nilimwambia ujumbe ule kwa mapenzi mema, sikwenda mbali zaidi ya hapo.
Thread yenyewe ni hii;
Ushauri kwa Lara 1
Asanteni.
Thread yenyewe ni hii;
Ushauri kwa Lara 1
Asanteni.