Ipo siku nzi akiacha ujinga anaweza kutengeneza asali.
Ruksa kuikopi mkuu ukaishare huko wasap sina akaunti huko mi ni jf tu aisee,lakini vipi siku nzi akitengeneza asali utalamba?😀
Nzi huyu huyu au........?
Tena yule anayekaa kule tualeti..
Nadhani atatengeneza asali ya mafi...
Mbony safo Preee?
Ipo siku nzi akiacha ujinga anaweza kutengeneza asali.