Kuna huu mtindo wa sikuhizi unakuta mtu amevaa suti au suruali vinang'aa sana na kuna mashati nayo huwa hivyo. wadau mnaionaje hii staili.
Ninampango wa kushona suti ya hivyo nahitaji kujua maoni yenu.

hahaha. na kuna wainjilisti wengi sana huku. wwanavaa makoti makubwa mpaka magotini. rangi zao nyekundu au dhambarau. viatu vya plastic vimechongokaa!Hizo style zipo sana mbeya utaziona Jumapili mchana kabwe,mwanjelwa vijana wametinga,binafsi sipendi kabisa hizo nguo halafu shati lina kola ndeefu,suruali bwanga utafikiri wacheza yekeyeke miaka ya 70 usiombe cheche za moto zirukie zinakuyeyukia!
Ni ushamba unless wewe ni msaniiwa music au ni gay hapo sawa