Kila shabiki kuna namna alianza kupenda muziki na hatimaye akajikuta hawezi kutoka tena!
Mi nakumbuka kwenye 90s mzee wangu alikuwa na music system ambayo alitoka nayo Russia na alikuwa akiplay...
Itifaki imezingatiwa,
Wakuu, binafsi chanzo cha kutumia id-enter passcode ni shemeji/wifi/mtoto/mjukuu wenu, simu niliijaza pass words mpaka akitaka kufungua app yoyote inamdai aingize codes...
Wakuu samahani naomba kuuliza na kujuzwa wapi walipo hawa member wa kitambpo wa JF?
Walipatwa na umauti?
Walibadirisha ID?
Wako wapi?
GUDume
Zero Iq
Joseverest
Na wengine wengine wakongwe wa JF
Nipo mbeya kwa ajili ya mambo yangu ya kifamilia.
Nimekutana na mambo ya hovyo sana, nikasema ngoja niwaulize wadau.
Jamani eti kunywa beer 20 pekeyako ni starehe au ni stress.
Conclusion yangu...
Katika familia nyingi za kiafrika ukali kutoka kwa mzazi mmoja au wawili, hasa baba imekuwa kama desturi kwa baadhi ya familia.
Hali hiyo inaweza kusababisha watoto kuwa na hofu na wasiwasi...
True happyness does not demand expensive stuff.
Watu wengi duniani hawana furaha, hivyp basi inawalazimu kuforce Furaha ije hata kwa kiki ya piki piki.
Watu wafuatao hawana fursha hata kama...
Hi!
Ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya. Naombeni elimu kidogo namna ya ku-mention member kwenye post, mimi nashindwa lakini naona wenzangu mnaweza. Mnafanyaje??
Nakumbuka enzi zile wakati hakuku wa na members wengi kama sasa, na internet ilikuwa hadimu.
Yaani wanachat tulikuwa kama family ndogo hivi, tulikuwa tunajuana personality ya kila mtu wako wapi...
Kweli wahenga walikua sahihi waliposema tembea ili uone mengi, yahani mimi na ukubwa wangu huu nilikua sijui Kama uji ni juice ya mahindi mpaka nilipofika MBEYA.
Kweli wanyakyusa mmetisha sana...
Mswaki uhu wengi wanautumia sana na ili waache kutumia bas labda waone mtoto anauchezea chini au umeangukia chooni vinginevyo utatumika mpaka ulie up one kushoto 🤣🤣 au aende safari af awe...
Nina mdogo wangu kamaliza chuo 2022 up leo hana cv mara ya kwaza nimtumia cv yangu nikamwambia edit ilikuwa mwaka jana akasema hana cv nikampa yangu edit then itumie iyo leo anakuja kusema hana cv...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.