Mambo ya fwedha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mambo ya fwedha

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mitchell, Dec 13, 2010.

 1. Mitchell

  Mitchell JF-Expert Member

  #1
  Dec 13, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  Jamaa mmoja alikuwa na demu wake wa muda mrefu sasa akaamua amvalishe pete ya uchumba. Jamaa kaingia dukani akaona pete nzuri sana ya gold ile kuiona tu mshtuko ukampata akajamba, kisha akamuuliza muuzaji hii pete shi ngapi? Jamaa akamjibu shingapi? we mwenyewe kuiona tu umejamba je nikikwambia bei si ndio utakunya kabisa.
   
 2. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #2
  Dec 13, 2010
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mh!unataka kunivunja mbavu na story yako!!
   
Loading...