Nakumbuka miaka ya 80-90 ilikuwa jambo la kawaida kukuta jamaa wanapigana mitaani halafu watu wanashangilia sana.
Yaani ukiwa mtemi au gangwe basi unaonekana wa maana sana. Hata baadhi ya disco...
Nyie mie jamani nampenda huyu baba. Nampenda sana. Kuna mda nikimuangalia tu nawashwa. Amefanyika neema na baraka sana kwenye maisha yangu.
Vipi wewe uliyenaye unampenda? Je ni baraka kwako?au...
Habari za muda huu wanajamvi!
Je, umewahi kukutana na mtumiaji wa Jamii Forums katika maisha ya uhalisia (Jamii)?
🔹 Ulijisikiaje?
🔹 Ulijitambulisha kuwa na wewe ni mwanachama, au ulifanya kama...
Miss Natafuta Na Sky Eclat wanaujua muziki wangu PM.
Baada ya kupigwa kibuti Na Mamndenyi nilipagawa kabisa, hasira zangu nukazihamishia PM kusakasaka penzi jipya.
HR 666 njoo let us share the...
Binafsi nikiwa kama mwana Dunia pia nilifurahishwa nae zaidi alipokuwa akiongea kwa Kulegeza Sauti mwishoni.
ANGALIZO
Kabla ya Kuchangia huu Uzi nashauri Kwanza uangalie hapo juu upo katika...
Mkuu tumekaa kinyonge sana, hii habari ya Msigwa haina mibaraka yoyote kwa vijana wenye kiu ya kuona siku moja CDM inatawata Tanzania.
Tunaomba tamko lako, kuna siku ulituaminisha kuwa Msigwa...
Za siku wakuu.
Kosa nililofanya, niko njiani natokea likizo nyumbani naelekea kazini, ninakoishi pamoja na familia nikasema nichukue mipira ya kiume (condoms), ili nikifika nyumbani kwa mke...
🤣🤣😆 kichwa habari chajieleza yaan marafiki ndugu jamaa wananitenga toka niuze kaeneo kangu huko maeneo ya kibaha nimepata laki8 na nusu basi watu wananionea wivu ama kweli pata pesa matako hulia...
Weekend iliyoisha mida ya saa tatu usiku napigiwa simu "oya njoo umchukue rafiki yako huku yupo chakali!"
nikang'oka fasta mi nilikuwa sijashitua siku hiyo, kufika namkuta jamaa yupo nzwii haswa...
Mirinda nyeusi inaniita.....
kwakweli kuna muda bia huwa inakera ikiamsha hangover unaapa kuiacha mwili ukipoa unarudia tena, siku ya juzi na jana bia imenikera sanaa, leo mimi na bia basi. 👋...
1 - Saa 3 usiku hakuna daladala barabarani.
2- Saa 4 usiku huoni watu nje na usiulize kwanini. Jiongeze bro!
3- Ugali wa 1500 unapata mboga 7, usisahau uono (dagaa mchele) buree.
4- Ndio jiji...
Natafakari kwa kina hawa wachawi wangekuwepo. Ila kwa sasa hawa waliobaki nadhani ni wachawi ila hawatishi maana kuna watu bado majumbani wanalalamika kutokewa na wachawi usiku
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.