Usilipize baya kwa baya bali kwa jema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Usilipize baya kwa baya bali kwa jema

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mitchell, Aug 18, 2011.

 1. Mitchell

  Mitchell JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 357
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 45
  [FONT=&quot]Mama mmoja mcha Mungu alikuwa na jirani yake mwenye roho mbaya kupita kiasi, siku moja akafungulia mabata yake ili yakajitafutie chakula. Bahati mbaya yakaenda
  kwa jirani yake, jirani kuyaona akayapiga mabata yote matano na kuyajeruhi
  vibaya sana. Yakajikokota yakarudi nyumbani yakiwa hoi sana mama mcha Mungu
  kuona vile akaona ni vema ayachinje ili yasije kufa. Basi baada ya kuyachinja
  akayatengeneza, akayaweka kwenye friji kisha akachukua mabata mawili akayafunga
  vizuri na kumpelekea jirani : Jirani haya mabata yamepigwa huko mtaani bila
  huruma na yaliumia vibaya hivyo nimeona niyachinje ila yalikuwa mengi hivyo na
  wewe chukua haya upate kitoweo jirani yangu.[/FONT]
   
Loading...