Is it a gud idea to watch movie with the entire family? check it up

Mitchell

JF-Expert Member
Oct 29, 2010
494
500
Ilikuwa hivi, familia wapo sitting room wakiangalia DVD ya movie siku ya weekend sasa kuna sehemu flani ikafikia wahusika wakaanza kukiss huku wamelegeza macho huku akiendelea kumvua blausi mhusika wa kike, yu know wat Im talking about, sasa kaka mtu ndio alikuwa kashika remote kuona vile akajua kitu gani kitaendelea hivyo akaona isiwe tabu cha msingi na cha sekondari hapa ni kuforward hii party ili akija kuplay wale washikaji washamaliza.

Basi huku akiwa kaangalia pembeni akabonyeza, kilichomstua ni kuona ukimya uliotawala kama dakika tano hivi ndio akaamua kugeuka kujua kulikoni ile kugeuka tu akakutana na baba yake amekunja uso vibaya sana. Kumbe jamaa alikuwa amebonyeza kitufe cha SLOWLYYYYYYYYYYYY……………………………..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom