JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamani wale wa MALANGALI SECONDARY SCHOOL iliyopo wilaya ya Mufindi mkoani Iringa.Me nimepiga pale A-level 2009-2011.Niliishi Mwaisela then nilihamia Bangu A. Shule ina changamoto nyingi sana...
1 Reactions
7 Replies
6K Views
All that I wanted to say in this song.I hope you'll like it. I miss you. Yours trully...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Jamani kuna fashion mpya imeingia mjini ya ubebaji mabegi kama watoto wa shule sijui tafsiri yake ni ubitoz, usister duu au ndio kwenda na wakati, yaani siku hizi kila mtu si wazee, wa...
1 Reactions
30 Replies
8K Views
Habari ndugu wote!!! jamani naomba kila mwana JF aweze kutoa taarifa za mambo yanaotokea au kufanyika mahali ulipo. Pia muhimu wanaJF walio karibu kufahamiana ili kutoa habari na kujulishana kama...
0 Reactions
71 Replies
49K Views
Inashangaza lakini ni kweli 1. Mwanasheria anatamani upate tatizo. 2. Dktr anatamani uwe mgonjwa. 3. Polisi anatamani uwe mhalifu. 4. Mwalimu anatamani uwe mjinga. 5. Mwenye nyumba anatamani...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Niko katika harakati za kupata picha hapa..
0 Reactions
55 Replies
12K Views
Ilikuwa miaka 3 iliyopita, nilipokutana na mrembo hapa JF aitwae madame B,alinichanganya sana mpaka nikaamua kujitosa na kurusha ndoano yangu, ambayo iliishia kuelea tu nakusubiri muelekeo wa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Baada ya kazi zote za leo napenda kuwatakia usiku mwema na mtulivu mwenyenzi mungu awalinde kesho muamke mkiwa na mguvu na uchangamfu muendelee kumtumikia. Ndimi kijana wenu ninayetaka kuwa padri
0 Reactions
14 Replies
2K Views
:D:D:D:D:D moshi kichwani
1 Reactions
9 Replies
2K Views
nilipewa kujaza utambulisho na mwl wa english wakati nipo form one nilipofika kipengere cha sex "nikajaza twiceperday.
2 Reactions
7 Replies
4K Views
ukawa lazima wachukue nchi. zitto ni msaliti kupewa wilaya si mchezo lazima uwe naloooo,,, endelea!!!!!
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani kumekuwa na maneno mengi sana yakifupi humu mitandaoni wengine wamekuwa hawa yaelewi, wengine wanayatumia ila bado pia hawajui maana na wengine wanafahamu lakin sio yote. Nimejitahidi...
0 Reactions
79 Replies
20K Views
Ebana Kuna Mzee Leo Kabana Ushuz Ndan Ya Daladala.Kajitahdi Ikabidi Aachie Sikikatoa Sauti "Pyuuuuh"...Watu Aaaah..!Mzee Akawangalia Abiria Akajishitukia,Mzee Akawah Kusema NANI HUYO KAJAMPA NYUMA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kuna kijana mmoja alikua anaitwa said kijana huyo shulen kwao wanafunzi wenzake hata mwalimu wake hakuna aliekua anampenda coz alikua kilaza sana...siku moja mama yake alikwenda shulen kwao...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani wiki ijayo nasafiri kwenda Mtwara na Lindi kikazi lakini nimepewa onyo na watu kama wawili kuwa nikifika uko Mtwara nisile nyama ya aina yoyote. Binafsi sijui kwa nini? Kwani nyama ya...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Filamu iyo yenye mastaa kama sharobalo, shehe yahya, inayoitwa "najuta kuwa kinyume na mungu duniani" inatarajiwa kutolewa muda si mrefu kupitia "babu wa kikombe" chanzo: maono
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Katika hospitali moja ivi ya wagonjwa wa akili, daktari alikua akiteremka kutoka floor ya sit a kuelekea chino kabisa,. Alipofika floor ya nne ndipo alioanza kusikia sauti kubwa ikisema "Ukishuka...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Jamani kuna viumbe vingi sana hapa duniani kama binadamu,wachawi,majini,mapepo,vibwengo,mizimu,mazombi,vampire,simba,chui,mamba,tembo,nyoka, popo bawa nk. Je, wewe ni kiumbe gani unapenda...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wadau mnasemaje hapa?:biggrin1: Nataka kuanzisha restrooms maalum kwenye maeneo ambayo ni populated, itakuwa ni ya kisasa zaidi tofauti na hizi zetu za public zinazotoa harufu kali. Utofauti...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…