Ok9
JF-Expert Member
- Oct 5, 2013
- 4,554
- 4,171
Inashangaza lakini ni kweli
1. Mwanasheria anatamani upate tatizo.
2. Dktr anatamani uwe mgonjwa.
3. Polisi anatamani uwe mhalifu.
4. Mwalimu anatamani uwe mjinga.
5. Mwenye nyumba anatamani usijenge.
6. Changu anatamani wasioe.
7. Dr wa meno anatamani meno yakho yaoze.
8. Makenika anatamani gari yako ipate tatizo.
9. Mtengeneza majeneza anatamani ufe.
10.Ni mwizi pekee anayetamani ufanikiwe ktk maisha yako.