Malangali Secondary School(uboyizini)

Malangali Secondary School(uboyizini)

tamuuuuu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2014
Posts
22,782
Reaction score
31,298
Jamani wale wa MALANGALI SECONDARY SCHOOL iliyopo wilaya ya Mufindi mkoani Iringa.Me nimepiga pale A-level 2009-2011.Niliishi Mwaisela then nilihamia Bangu A.

Shule ina changamoto nyingi sana ikiwa ni pamoja na uhaba na uchafu wa vyoo.Shule kasoma Pr.Mwandosya na Dr.Mwaisela ndo maana hadi Muhimbili kuna wodi za Mwaisela.

Mimi nawakumbuka wafuatao kule;
1.Mwl Rwegasira-My dear.
2.Ngwema-mzee wa mkwara.
3.Liole
4.Madam Kihanga na
5.Mama Chaya muuza maandazi na kipenzi cha wanafunzi.Pia mnada wa Ihowanza,kuoga ktk mto Ruaha na kula bagia sana pale Mbalamaziwa.Vipo vingi sana,Je wewe mwana Malangali unakumbuka nini? tupia hapa tujue.
 
Usiishie tu kuwakumbuka watu na matukio.
Kama kuna kitu ulikiona hakikuwa sawa kipindi kile na sasa uko vizuri, Do something.

Mapendo,
TANMO.
 
tamuuuuu;Jamani wale wa MALANGALI SECONDARY SCHOOL iliyopo wilaya ya Mufindi mkoani Iringa.Me nimepiga pale A-level 2009-2011.Niliishi Mwaisela then nilihamia Bangu A.

Shule ina changamoto nyingi sana ikiwa ni pamoja na uhaba na uchafu wa vyoo.Shule kasoma Pr.Mwandosya na Dr.Mwaisela ndo maana hadi Muhimbili kuna wodi za Mwaisela.

Mimi nawakumbuka wafuatao kule;
1.Mwl Rwegasira-My dear.
2.Ngwema-mzee wa mkwara.
3.Liole
4.Madam Kihanga na
5.Mama Chaya muuza maandazi na kipenzi cha wanafunzi.Pia mnada wa Ihowanza,kuoga ktk mto Ruaha na kula bagia sana pale Mbalamaziwa.Vipo vingi sana,Je wewe mwana Malangali unakumbuka nini? tupia hapa tujue.

Nawakumbuka vidingi wote kama ninyi.
 
Assee...
M nakumbuka miaka ya 2000's..nmepita pale o-level, kuna walim nawakumbuka sana hasa
1) Nyagawa a.k.a van damme
2) Ulime a.k.a udig
Hawa jamaa walinitesa sana kwa bakora.
Niliishi 'chemba mavi'...nasikia ishafungwa, yaani ukikaa kule unaonekana ndio umepinda maana bangi, ugimbi, ulanzi na mitungo yooote inafanyikia kule..
Ila camp nalikubal saana lile had kesho
Ila siku hizi linaharibu saaaana...hata top ten halipo....daaaah
 
zunya;

asee chemba gogo ni msala saaana,mekaa sana pale
 
MALCOM,me si kidingi!!! kwani kukaa Bangu ndo nimekuwa kidingi jamani?
Chemba mavi ilifungwa kabisa.
 
Usiishie tu kuwakumbuka watu na matukio.
Kama kuna kitu ulikiona hakikuwa sawa kipindi kile na sasa uko vizuri, Do something.

Mapendo,
TANMO.

Hilo wazo lipo,ila mpaka nijipange sn brother.Na watahusika wengi sana walopita pale.
 
tamuuuuu;MALCOM,me si kidingi!!! kwani kukaa Bangu ndo nimekuwa kidingi jamani?
Chemba mavi ilifungwa kabisa.

bangu wote ni vidingi tena mkianza na yule chancellor wenu MGANDA SIJUI anaitwa VEDA hadi kule UVT Kwa kina Mwambungu,chemba Afya yote ya kina Mwangosi na Amenye ni taaabu saaaaana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom