Haya maneno wengi yanawachanganya

Haya maneno wengi yanawachanganya

Mkudisingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2014
Posts
421
Reaction score
123
Jamani kumekuwa na maneno mengi sana yakifupi humu mitandaoni wengine wamekuwa hawa yaelewi, wengine wanayatumia ila bado pia hawajui maana na wengine wanafahamu lakin sio yote.

Nimejitahidi angalau kukusanya baadhi ambayo kidogo ni maarufu ili nisaidie wengine ambao wangependa kuyatumia lakini hawawezi kwasababu hawajui maana zake sasa nitayaorodhesha halafu mbele nitaweka maana zake kirefu;

LOL:laugh(ing) out loud!
LMAO:laugh(ing) my ass off!
XoXo:kisses and hugs!
OMG😱h my God(gosh)!
J:J:just koking!
LMFAO:laughing my fat ass(fucking ass) off!

NOTE:LOL also means Lots of Love,to many of us so if you broke your leg and received one of todays abbreviated LOL messeges you shouldnt necessarily assume the sender was laughing at you.

Hapo nimezungumza na wale kizazi cha dijitali kama ww ni analojia achaaaa!pitakuleee matusi sitaki tutakuwa tunaogopa kushare mambo humu.Kama unajingine hata la kiswahili ongezea watu wajue.
 
hahaha wengine hutumia lol kama kuduwaa japo kale ka alama ka mshangao hakapo baada ya neon uko sahihi lakini
 
na kweli bora nipite nikikimbia
 
Back
Top Bottom