Usiku mwema

Usiku mwema

bonem

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2015
Posts
235
Reaction score
55
Baada ya kazi zote za leo napenda kuwatakia usiku mwema na mtulivu mwenyenzi mungu awalinde kesho muamke mkiwa na mguvu na uchangamfu muendelee kumtumikia. Ndimi kijana wenu ninayetaka kuwa padri
 
Ameeeennnnn

lakini Hizi ni dalili za vitu viwili
a)Huna muda mrefu unakufa,dalili za kutupa mkono wa buriani hizi
b)Huna muda mrefu on the way to Dodoma kwenye Kitengo
 
Nimecheka sana mkuu, asante kwa kunitoa msongo.
 
Baada ya kazi zote za leo napenda kuwatakia usiku mwema na mtulivu mwenyenzi mungu awalinde kesho muamke mkiwa na mguvu na uchangamfu muendelee kumtumikia. Ndimi kijana wenu ninayetaka kuwa padri

Nawe Mungu akubariki.
 
Baada ya kazi zote za leo napenda kuwatakia usiku mwema na mtulivu mwenyenzi mungu awalinde kesho muamke mkiwa na mguvu na uchangamfu muendelee kumtumikia. Ndimi kijana wenu ninayetaka kuwa padri

Umekula lakini mkuu?
 
Ameeeennnnn

lakini Hizi ni dalili za vitu viwili
a)Huna muda mrefu unakufa,dalili za kutupa mkono wa buriani hizi
b)Huna muda mrefu on the way to Dodoma kwenye Kitengo

naomba ufafanuzi mkuu. unataka kusema nini labda maana nimposti kwa nia njema kabisa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom