Ukiwa mkubwa unapenda kuwa daktari, injinia. Hivi kwanini hawasemi mwalimu,au askari?

NAFIKIRE

JF-Expert Member
Sep 5, 2014
634
415
Wadau
Ukiwauliza watoto wengi ambao wameshajitambua kiasi kwamba watakapokuwa wakubwa wanataka kuwa nani.....wengi utasikia wakisema wanataka kuwa manadaktari,mainjinia,rais........nk na ni nadra sana utasikia wakisema wanataka kuwa waalimu,polisi,mapadre,wachungaji..........nk
Naomba tujadiliane nini mantiki ya haya majibu kutoka kutoka kwa hawa watoto....
Karibuni
 
Back
Top Bottom