View attachment 246383View attachment 246385
Toka tunakuwa tunasikia huu msemo fulani na fulani ni chui na paka yaani hawapatani. Sasa kutopatana kwao kuna uhusiano gani wa kusema chui na paka? Kwani kuna nini kati ya chui na paka?
waliibiana himaya.. basi paka akaamua kuwa mpole na kufugwa na binadamu
long time ago in bethlehemu the holly .. say.. mimi nipo mtaani huku nakula kile kitu tu,... mimi najua maswala ya wanyamamhhhhh, kama mzee wa zamani vile, we ulisikia wapi? ila nimekumicje long time a go in bethelehemu.
long time ago in bethlehemu the holly .. say.. mimi nipo mtaani huku nakula kile kitu tu,... mimi najua maswala ya wanyama
ha ha poa bwanateh, teh, teh, labda yule mnyama wa anayefugwa kwa sana hapa mjini, yule wa pale kontena mikocheni, najua j.2 ntakuona zile pande za kulee ufukweni kuna vitu vya samaki wa ukweli. ila mimi maji safi siku hizi na juice ya chunky ya 400.
waliibiana himaya.. basi paka akaamua kuwa mpole na kufugwa na binadamu
Hahahaaa ya kweli hayo miss chagga?
Kwel paka wangu aliniadisia
Hahahaaaa uyo paka wako ni noumerrrrr
Hili swali jibu lake lingekuwa kisanyansi zaidi