Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
Mpendwa farkhina, natambua leo ni siku yako ya kuzaliwa na sina budi kutumia wasaa huu kukupa hongera kwa kuongeza umri na kukutakia yote yalio ya kheri katika kuadhimisha siku hii ya leo.
Mola akupe afya njema,uzima na maisha marefu.


Lots of love from ur sissy gorgeousmimi:hug:
Mola akupe afya njema,uzima na maisha marefu.


Lots of love from ur sissy gorgeousmimi:hug:

