Mahusiano kati ya pombe, starehe na weekend

nijothemaster

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
324
Reaction score
56
Habari zenu ndugu,...
Inavyoonekana hapa kwetu Tanzania mahusiano ya vitu tajwa hapo juu ni makubwa mno, Je! Ni kawaida vitu hivi kwenda sambamba au ni mazoea yamepitiliza....
 
Yani hapa sina mwelekeo ni wapi nitakutana na wadau tukapige moja moto moja baridi.Daaa kitu chuichui-serengeti na mkausho kwa pembeni!!!!!
 
hahahaha mahusiano yanaendelea...weekend njema ndugu
 
Habari zenu ndugu,...
Inavyoonekana hapa kwetu Tanzania mahusiano ya vitu tajwa hapo juu ni makubwa mno, Je! Ni kawaida vitu hivi kwenda sambamba au ni mazoea yamepitiliza....

Ukiondoa kwamba w/end ni siku za kupumzika kazini na watu kua wanafanya yao,kuna jambo kubwa muhimu ambalo mwanadamu hajifikilishi,Ijumaa ni siku ya ibada,Jmosi na Jpili pia ni siku za Ibada ambazo watu kwa imani tofautitofauti wanaenda kwenye masinagogi yao na nyumba za ibada kwa ajili ya toba,na siku hz Shetani huwavizia watu kuwaangusha ktk kumcha MUNGU.ndiyo maana utaona uovu mwingi ukiendelea ktk siku hzo! Shetani aliweka kiapo cha kuwatafuta wa kwenda nae jehanam,na anawavizia siku ambazo ni za mapumziko na kufanya yake,hawaendi kumwabudu MUNGU au wanaenda na wakitoka wanaishia guest house au bar,au kwenye fukwe za bahari na kukaa uchi uchi wakimtukuza Shetani bila wao kustuka,hayo ndo mavuno yake,kiufupi ni hivyo,mwenye sikio na asikie!!
 
Mkuu kukaa Uchi sio dhambi
 
Back
Top Bottom