Yawezekana ni tatizo la wachache au wengi au yawezekana pia ni tatizo langu pekeyangu lakini kwakweli mvua hii imenitia hasara kubwa yani ndani ya wiki moja nimeshapoteza miamvuli mitatu...
Nilikuwa kwenye usafiri wa 'public' jamaa mmoja akauliza kwanini wahudumu wengi wa baa (maarufu baamedi) huwa hawatumii glass pindi wanapokunywa bia? Nilifika ninapokwenda kabla sijapata jibu...
Kule Kwa Wenzetu Wanautamaduni Wao Kila Wanapolala Mfn:
USA-Good Night
UK-Nice Dream
Australia-Enjoy the night
Canada-God Be With You Tonight.
Ila Kwetu Sasa
Arusha-Usisahau Blanket
Dsm-Umefunga...
Jamani, Bwana Yesu Asifiwe! Habarini Za Asubuh! Basi Kama Umeamka Salama Mshukuru Mungu. Iko Siri Pia Ktk Kumka Mapema Kwani Adui Mkubwa Wa Mafanikio Ni Muda. Na Kama Biblia Inavyosema Kuwa...
Wakuu,
Naomba ku'declare interest' kwa huyu dada ni kuwa ananisuuza mno azungumzapo hivo hupunguza 'stress' zote. Ninazokuwa na kupenda kusikiliza kipindi chao cha "Yaliyomo Yamo" radioni...
Waungwana tuambiane,
Hivi ukubwa wa mtu unapimwa kwa kuangalia nini?
-umri alionao?
-majukumu aliyonayo?
-mawazo aliyonayo?
-pesa aliyonayo?
Au nini?
Maana kila kila mtu siku hizi anajiona mkubwa!
Juzi jumapili nilitoka gheto sinza nikaenda soko la mabibo kufanya manunuzi ya wiki nzima kama ilivyo kawaida yangu, sijaoa bado ila napenda kujipikia, nakula migahawani mara chache chache sana...
South African President Jacob Zuma met with the Queen of England.
He asked her, "How do you run such an efficient government? Are there any tips u can give to me? I want to help South Africa."...
Habarini,
Kama ni mwanaume mzoefu wa watoto wazuriwazuri itakuwa kazi rahisi tu kugundua kuwa huyu mhadithiaji sijui wa tamthiliya flan ya kila jioni kwny TV 1 ana figure ya ukweli.
Huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.