Hii mvua leo

Hii mvua leo

Nyamgluu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
3,160
Reaction score
1,729
Aisee kesho lazima tusikie majanga. Ni noma.

Nimemwambia wife nalala Abla apartments, kasema nichukue hata boti nifike home. Ana roho ngumu sana huyu mwanamke.
 
Nimetokea air port hio barabara kama una vitz nitajaa maji maana maji yamejaa barabarani
 
Kwani si uliapa kuwa naye kwenye shida na raha hadi kifo kiwatenganishe? Huko kwenye apartment una nani huko na yeye umemruhusu ajitafutie wa kumkumbatia asiogope hizi radi? Weye vipi. Tafuta hata ile meli moja ya kivita ukodishe uende home, Mkeo kapiga sm huku polisi kuwa anaogopa kulala mwenyewe
 
Mvua imenikomoa wamekata umeme cjaenda kucheki game ya bace na muni
 
Aisee kesho lazima tusikie majanga. Ni noma.
Nimemwambia wife nalala alba apartments. Kasema nichukue hata boti nifike home. Ana roho ngumu sana huyu mwanamke

Mnapenda sana kufanya k matahira, baadae umcheke ujinga haya Fanya upesi katafute boti urudi home. Kesho utawahi kurudi kabla mvua haijazidi.
 
Aisee kesho lazima tusikie majanga. Ni noma.
Nimemwambia wife nalala alba apartments. Kasema nichukue hata boti nifike home. Ana roho ngumu sana huyu mwanamke
Aisee mkeo ni kama wangu.... hana huruma kabisa. Nataka turudi tukareview kiapo cha kupendana katika "shida na raha". Hanionei huruma mwenzie katika hii shida. Mi najipatia raha zangu hapa Samakisamaki kusubiria shida ya foleni iishe saa nane usiku.
 
Linda Mali yako.....

wacha aliñde Mali yake....nenda tuu mkuu
 
Aisee mkeo ni kama wangu.... hana huruma kabisa. Nataka turudi tukareview kiapo cha kupendana katika "shida na raha". Hanionei huruma mwenzie katika hii shida. Mi najipatia raha zangu hapa Samakisamaki kusubiria shida ya foleni iishe saa nane usiku.

huruma wakat anataka joto?
 
Aisee kesho lazima tusikie majanga. Ni noma.
Nimemwambia wife nalala alba apartments. Kasema nichukue hata boti nifike home. Ana roho ngumu sana huyu mwanamke

Tusikie kesho au leo? Mkeo mwenyewe ameshaAnza kuleta majanga
 
Asprin sijui kwanini haelewi. Nimemwambia maji kwenye rejeta yamezidi kutokana na mvua kali, anasema nikaushe na tissue ziko kwa gari. Yani.... sijui nifanyeje.
Halafu nimepita hapo samak samak mikocheni mingejua ningeingia tu strategise. Au uko ya town?
Cha kushangaza foleni za kwenda huko hakuna ni kwenda home tu.
 
Last edited by a moderator:
Nakaa mpaka saa 6 hivi. Halafu nikifika getini najiloweshaaaaaa. Kudadeki. Halaf tuone. Ndio ajue tabu niliyopata.
 
Kikubwa ufike home ujimwagie maji, jigaragaze kwenye tope useme gari ilikwama/zama mradi umefika.
 
Asprin sijui kwanini haelewi. Nimemwambia maji kwenye rejeta yamezidi kutokana na mvua kali, anasema nikaushe na tissue ziko kwa gari. Yani.... sijui nifanyeje.
Halafu nimepita hapo samak samak mikocheni mingejua ningeingia tu strategise. Au uko ya town?
Cha kushangaza foleni za kwenda huko hakuna ni kwenda home tu.
Heheheheeh... siku nyingine uwe una nibeep tufanye mikakati pamoja...
 
Mvua imenikomoa wamekata umeme cjaenda kucheki game ya bace na muni
Messi aonyesha kuwa yeye ni kiumbe wa ajabu Kobe Bryant, rest of sports world goes crazy over Lionel Messi's insane goal
 
ah hahaha hahaha mana hapo angekwambia ukodi hata helicopter
 
Hivi mbona hii mvua haikutangazwa?
 
Back
Top Bottom