Jamani mimi kabla ya kuja mjini niliaga kwetu iringa,hivyo sichezewi kizembe, nimekuja zanzibar leo asubuh na mpaka sasa bado nipo zenji ila nitageuza dar na boti ya jioni ilipofika saa saba...
wabongo wanatisha yaani wakichinja kuku hawatupi kitu. wanakula kuanzia KICHWA,MIGUU,SHINGO,MGONGO,UTUMBO,NYONGO,FIRIGISI,KIPAPATIO,MAINI,MANYOA. hii ndio bongo wakuu. mnaonaje hapa?
Habari zenu wanajamvi,
Nakumbuka wakati niko darasa la sita nikiwa nimekaa sebuleni natizama tamthilia baba akaja akasema, " unajifunza nini hapo? weka TVT" basi nikaweka.
Kulikuwa kipindi...
"Na Mungu ni shahidi Yangu"
Huu ni moja kati ya misemo niyayoipenda sana, huu msemo ukiufikiria sana una maana sana na unakwenda mbali sana, kila niusikiapo basi hata kama mtu alinikosea vipi...
Nimepanda Bus la Princess Muna liloloka Dar es salaam kwenda Mwanza, abiria wanalia wakiomba kuchimba dawa, dereva hajali na namba za ofisi zao pia hawajali,simu yangu imezima moto sina...
Kwa Heshima Na Taadhima Naomba Nifundishwe Jinsi Ya Kunywa Pombe Na Kuwa Mlevi Wa Kupindukia Kwani Ktk Maisha Yangu Siijui Pombe Wala Ladha Yake ILA Huwa Nafurahishwa Mno Pale Ninapowaona Watu...
Tokea kipindi cha mjadala wetu wa babu wa Loliondo, nimekuwa kimya sana mpaka leo hii nimeamua kurudi JF. Mnanipokea? Nawakumbuka watu kama miss judith. jamani mpooo?
Jamaa alikuwa ametulia Beach, Mzungu akapita akamuuliza "Are u relaxing?" Jamaa hakuelewa akajibu tu "NO" Akapita mwingine akamuuliza vilevile akajibu "NO" Alipoona hapa anasumbuliwa sana...
Wadau,
Haijawahi tokea, jana nilikuwa kwangu mida ya saa tatu hivi usiku, mara ghafla akaja mke wa jiran yangu na akakimbilia chumbani kwangu kisa anataka msaada mumewe anataka kumkata kata...
Hili jambo huwa linasumbua sana ubongo wangu kwa miaka mingi sasa na kila nikijiuliza huwa sipati jibu kwamba kwa nini wanyama kama vile; mbwa, ng'ombe, sokwe n.k huwa hawang'oki wala kupata...
Nimeota kuwa Klyn amekuwa mwanamama tajiri kuliko wote Tanzania, akiwa na umri mdogo tu, lakini na mafanikio makubwa. Ghafla nikastuka kabla ya kujua chanzo cha utajiri wake baada ya mvua...
Habari zenu Wana jf??
Eti inawezekana MTU anakaa chumba kimoja then anafuga paka? Paka analia balaaa!! Mpangaji Mwenyrwe ni mhehe jamani.... Wadau huyu mmama siyo mshirika kweli? Mimi nlizani kuwa...