lukelo sakafu
JF-Expert Member
- Feb 19, 2015
- 2,938
- 517
Jamani mimi kabla ya kuja mjini niliaga kwetu iringa,hivyo sichezewi kizembe, nimekuja zanzibar leo asubuh na mpaka sasa bado nipo zenji ila nitageuza dar na boti ya jioni ilipofika saa saba mchana njaa iliniuma hivyo nikaingia kwenye mgahawa moja maeneo ya darajani,
Nikaagiza pilau la nyama, lakini cha ajabu pilau lilikua limejaa vitu kama vijiti vijiti hivi na tumbegumbegu tweusii nilishtuka sana nikaacha kula, kwani sijawahi kuona pilau la namna ile walah iringa hakunaga hiyo chakula ya vijiti vijiti,
Najua muuzaji alitaka kunifanyia mambo ya kunitengeneza hili chakula chake kipate wateja wengi,sasa namwambia haniwezi kabisa kwani nimeaga iringa nimeaga, hivyo wasitake kunigeuza mimi chuma ulete.
Natoka iringa.