toa namba ya bus tukusaidie
Hamjawa na sauti moja ya kumdhibiti dereva! Watu 50-60 waseme jambo kwa ushirikiano halafu dereva awe kichwa ngumu? HAIWEZEKANI
poleni lakini
nyie kama vipi chimbeni dawa zenu humo humo tena pembeni ya siti yake!
Ukiona hivyo driver kesha tafuna ndumu na sasa anasafisha mdomoni kwa miraa
Amesema wapo gairo,inamaana dereva hajasimama gairo,hapo anawahi afike dom mapemanyie kama vipi chimbeni dawa zenu humo humo tena pembeni ya siti yake!