Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 18,656
- 13,480
Alikuwa na akiri sana huyu masai dada
Attachments
Last edited by a moderator:
Alikuwa na akiri sana huyu masai dada
ila alikuwa jiniaz sana...ni maisha tu ndo yamemharibu!!!
kweli aiss...huko nyuma hukuwa hivyo...
Mhu, nilidhani masai angepanic, kumbe kachukulia poooooa.
nimepanic kimoyomoyo
mtihani wangu sijui kautoa wapi
kavujisha paper
masai dada pokea complement hiyo...