Kweli lakini PakaJimmy kapotea sana unajua baada ya kuona bandiko lako Nyumbu ndio nikarudisha memory ya huyu mdau wa mkubwa wa Arusha.Unaweza kuta kashachukua fomu ya kugombea ubunge wa Arusha kimya kimya.

Yes, huyu jamaa alikuwa mchangiaji maarufu humu, na tunafahamiana. Sasa nimepoteza mpaka contact zake, na huku simwoni. Labda wadau wa Arusha mnaweza kumtrace maana nakumbuka Ngongo na yeye mlikuwa mnachangamsha sana ukumbi pamoja na arusha1

Haaa haaa mwaka huu na mimi nataka kuitwa Mheshimiwa Ngongo so wapiga kura wangu wakihamia mikoa mingine nawafuatilia kwa karibu sana.Mkuu wangu wakati wa kuandikisha daftari la wapiga kura tafadhali rudi Arusha kura yako na Mama muhimu sana.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.