Jua limezama

Jua limezama

MarianaTrench

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
1,212
Reaction score
942
Habari zenu wanajamvi,

Nakumbuka wakati niko darasa la sita nikiwa nimekaa sebuleni natizama tamthilia baba akaja akasema, " unajifunza nini hapo? weka TVT" basi nikaweka.

Kulikuwa kipindi kimoja wanajadili watu fulani wengi walikuwa wazee mmoja akasema " unavyomwona rais wa nchi alivyo. Basi ujue yeye ni wastani wa wananchi wa kawaida katika ufikiri hata pia utekelezaji."

Sasa najiandaa kulala hapa nikakumbuka hii siku ghafla na haya maneno yanajirudia akilini sijui alimaanisha nini yule mzee.

Usiku mwema Amani ya Yesu iwe nanyi
 
​sijaelewa connection ya heading ya thread na content???
 
mkuu acha kuifanya bange hionekane kitu cha haramu bila yoyote
 
Sijaishangaa post yako, kama ukiwa primary tayari Tvt ilikuwepo, ni kipimo tosha wewe bado mtoto sana, kalale tu,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom