Aisee hiki kinapaswa kuwa kifungua kinywa cha taifa! Ukipata supu murua kabisa ya maharage na chapati zilizopikwa kwa ustadi + kikombe cha maziwa asubuhi yako muruua kabisa.
Hongera aliegundua...
Mungu mkubwa leo hii nimetimiza miaka na mshukuru sana Mungu mama yangu mpenzi na pia nawashukuru sana wana JF wote ��06-06-198_ to 06-06-2015 happy birthday to me��...
Jamani wana JF,
Mimi nimetokea kumkubali sana huyu mama anaejiita mamndenyi naomba connection na huyu mama popote alipo au kwa anaeweza kuniunganisha nae zawadi nono itatolewa au mamndenyi...
Mi sijambo tu wa afya, tatizo lipo kwa dola inazidi kupanda.
Ngoja niwape kioja ambacho nishawahi kukifanya, kulikua na marafiki wanakaa room moja chuoni sasa kati ya hao kuna mmoja ambaye alikua...
Boy: do you have a boyfriend?
Girl: No. I dont want a boyfriend.
Boy: Genesis 2:18 The Lord God said, It is
not good for the man to be alone. I will
make a helper suitable for him.
Girl...
Jamani saizi kunatabia imeibuka ya hawa dada zetu kujifanya wanaongea sana english mf Ilove you nakupenda sana {kozi} ukiniacha nitaumi{bati} sina mwingine.
Kwanini usimalizie tu ukaongea...
Volunteering to deliver meals on wheelz or helping out some young and old people in your community. Helping people to read is always nice. Or helping people meet their needs is very rewarding. So...
kweli duniani hakuishi viroja. Kuna tukio la ajabu limetokea Mtwara Vijijini juzi mchana baada ya wanakijiji kushuhudia kwa macho yao Paka akitolewa nduki na Mapanya Buku watatu.
Tukio hili...
Jamani, watu wanasema ushamba ni mzigo. Leo pale Kariakoo Kamata kwenye mataa, nimemkuta jamaa mmoja anaitwa Massawe wa Ushirombo akiwa na suti yake maridadi amekaa chini akiangalia screen kubwa...
Rais wa Jamuhuri ya muungano wa
Tanzania na
amiri jeshi mkuu Mheshimiwa J.K
ameapa kuingia
vitani wakati wowote kutoka sasa
kutokana na
dharau kubwa inayofanywa na Uganda
kwa nchi
yake na...
Jamaa analala yeye na mke wake na watoto wote chumba kimoja. Akamwambia mke wake wacha tujinyooshe wakishalala watoto, ukiona nawasha kibiriti nazima ujue nakuita njoo kwangu... Mke Akakubali...
Najisikia raha sana siku nikiwa naenda kumtembelea mpenzi wangu nyumbani kwao alafu aniulize hilo swali.
sijui na nyie wenzangu huwa mnafurahia kuulizwa hivyo.
Vitu kama makalio makubwa, ya nini? Ya kawaida tu yangefaa. Au hips (umbo namba nane), ni vitu vinawapa wakati mgumu hata mafundi nguo, au matiti, kwani zingekuwa ni bomba tu za kunyonyeshea mtoto...
habari zenu wakuu,
najua wengi mtashangaa kwa nini nimeamua ku express hisia zangu hapa. sababu iliyonifanya ni kutokana na huyu bi dada namuogopa(sijui kwanini ila ninampenda sana ingawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.