Jamani wana jf mimi nimetokea kumkubali sana huyu mama anaejiita mamdenyi naomba connection na huyu mama popote alipo au kwa anaeweza kuniunganisha nae zawadi nono itatolewa au mamdenyi mwenyewe unapoiona hii post naomba uni pm tuseme yetu!

hatakua na haja ya boom tenaMwanae wa mwisho huyo bibi ameingia chuo kikuu juzi alikua analalamika mkopo hawajampa licha ya kuwa na vigezo.
hizi za kule kwetu moshiAfu we miss chagga vp tena tuanze kuombana hela hata muafaka hatujafikia za wapi hizoo!!
hizi za kule kwetu moshi
mimi ukinitaka utakufa kwa njaaaHahhahaaa sio fresh namna hiyo mbona mama mwenyewe hajasema kitu anatafakari anitunuku vp we unaanza kumzibua masikio???hawa wa mama sio kama wewe mtafutaji…yeye sa hizi anakula pension tu……teh teh teh ndio maana sikutaki wewe!!!
kanituma kaniambia umkome hana mda wa kulea .. ye mwenyewe pesa hazimtoshiMiss chagga ngoma si yako mbona umekomaa na mimi hivyo…hebu mshtue anti yako hapo mwambie nimerudi tena na kilio changu!!!