Kwanini wasichana wanchanganya lugha ya Kiswahili na Kingereza?


J

jimmy fivao

Member
Joined
Jun 5, 2015
Messages
26
Points
0
Age
21
J

jimmy fivao

Member
Joined Jun 5, 2015
26 0
Jamani saizi kunatabia imeibuka ya hawa dada zetu kujifanya wanaongea sana english mf Ilove you nakupenda sana {kozi} ukiniacha nitaumi{bati} sina mwingine.

Kwanini usimalizie tu ukaongea english unakera sana hasa ukitaka kutongoza ndio kabisaa hii lugha mi naiita engliswahili wewe mdawu unaiitaje.?
 
Honey Faith

Honey Faith

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2013
Messages
15,839
Points
2,000
Honey Faith

Honey Faith

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2013
15,839 2,000
Hivi na hii ni thread?Hebu njooni mseme kwanini mnaongea sana english

Cc nifah Dinazarde cutte b
 
Last edited by a moderator:
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2008
Messages
58,501
Points
2,000
Asprin

Asprin

JF-Expert Member
Joined Mar 8, 2008
58,501 2,000
Hivi na hii ni thread?Hebu njooni mseme kwanini mnaongea sana english

Cc nifah Dinazarde cutte b
Simple: Kwasababu dushe na papuchi hazijui kiswahili
 
Last edited by a moderator:
Pritty wa joseph

Pritty wa joseph

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2014
Messages
2,423
Points
2,000
Age
25
Pritty wa joseph

Pritty wa joseph

JF-Expert Member
Joined Jul 17, 2014
2,423 2,000
Kiupande wangu nikikuongelea kiswahili nakuwa sina mood yaan full aibu ila nikitwanga kikristu no aibu
 
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
32,392
Points
2,000
kabanga

kabanga

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
32,392 2,000
Aisee, utajuaje kama anajua kizungu... ????
 
King snr

King snr

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2015
Messages
417
Points
195
Age
21
King snr

King snr

JF-Expert Member
Joined May 25, 2015
417 195
Mi nakiita kiswaking yani uswazi bila hiki hupati manz
 
dawa yenu

dawa yenu

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2014
Messages
2,329
Points
2,000
dawa yenu

dawa yenu

JF-Expert Member
Joined Jan 7, 2014
2,329 2,000
jimmy fivao

"nakupenda but sina mwingine cause naomba uniamini..... I mean wanaume nawaogopa but ukiniacha Bauma sana"

Elimu zao za ngumbaru ila wapo mbele mbele na vilugha vyao
 
Last edited by a moderator:
J

jimmy fivao

Member
Joined
Jun 5, 2015
Messages
26
Points
0
Age
21
J

jimmy fivao

Member
Joined Jun 5, 2015
26 0
"nakupenda but sina mwingine cause naomba uniamini..... I mean wanaume nawaogopa but ukiniacha Bauma sana"

Elimu zao za ngumbaru ila wapo mbele mbele na vilugha vyao
test nawewe kutikisa utaona anavyo jiumauma maneno
 
uporo wa wali ndondo

uporo wa wali ndondo

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Messages
2,815
Points
2,000
uporo wa wali ndondo

uporo wa wali ndondo

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2013
2,815 2,000
Ukiwaunapenda viwanafunzi, tegemea kitu kama icho.
 
Apologise lady

Apologise lady

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2013
Messages
6,001
Points
1,250
Apologise lady

Apologise lady

JF-Expert Member
Joined Sep 16, 2013
6,001 1,250
Hujui watu wanaamini akizungumza kiswaenglish eti ndio msomi, mweeee!!!!!!!!! maskiniii nchi yangu Tz
 
masai dada

masai dada

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2013
Messages
13,270
Points
2,000
masai dada

masai dada

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2013
13,270 2,000
haki ya nani

kwa hiyo tutaje kwamba na sisi tunaiitaje?
mi naiita kiswanglish
 

Forum statistics

Threads 1,285,389
Members 494,586
Posts 30,860,211
Top