Chapati na Maharage bonge la menyu

Chapati na Maharage bonge la menyu

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,244
Reaction score
12,616
Aisee hiki kinapaswa kuwa kifungua kinywa cha taifa! Ukipata supu murua kabisa ya maharage na chapati zilizopikwa kwa ustadi + kikombe cha maziwa asubuhi yako muruua kabisa.

Hongera aliegundua hii breakfast..
 
Hiyo acha chapati na mchicha we Nazi asubuhi ni balaa zaidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom