Muwe na Jumapili njema

Muwe na Jumapili njema

Ben Nyoni

Senior Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
115
Reaction score
136
Member wote wa humu JF nawatakia weekend njema,karibuni sana SONGEA sehemu moja hivi inaitwa Heroes ipo LIZABONI
 
Huko Songea kuna nini au unataka kutangaza nia mkuu.
 
Hahhaha singda patamu, haswa fika singidani ujionee umati wa watu ufukweni
 
heroes a.k.a canivour ndo mitaa yangu iyo karb ntakuja tena huko
 
Back
Top Bottom