JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Wadau, Kabla ya mfungo wa ramadhani huwa naskia tu kuna vunja jungu. Ningependa kujua hiyo sherehe ina maana gani?
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Watu wa Dar bwana.... Kabla hujaenda ukimpigia simu anakwambia karibu sana kaka ukija usiache kunitafuta... Ukifika ukampigia kwanza anakuuliza umefikia wapi, unamwambia nipo Kawe, utaskia nipo...
9 Reactions
11 Replies
6K Views
Eid Mubarak kwa wadau wote wa Jamii forum Mungu awakubalie funga zenu na kuwafutia madhambi yote, In Shaa Allah. Tusheherekee kwa Amani na utulivu,Sio mbaya tukijulishana vitakavyokuwa vinajiri...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
waungwana nawakaribisha ubwabwa wa Eid, ila hakikisha unajiandaa vyema.... mahali ni nyumbani kwangu....
2 Reactions
6 Replies
972 Views
Ushiboy alimtembelea girlfriend wake aliyemwalika msosi wa jioni. Ghafla, jioni ile bado akiwa kwa g,irlfriend wake mvua ilinyesha kubwa sana na haikupungua kwa muda mrefu. Wazazi wa binti...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
BOSS: Unataka kuanza na mshahara gani kwa Mwezi? DOGO: 4 Million, Gari niwe najaziwa mafuta kila mwezi, nyumba ya kuishi nalipiwa kila kitu, yaani kodi, umeme na maji, matibabu na posho ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kamanda nanihii ametoa wito kwa majambazi wote kujitokeza kwa ajili ya kuweka mkutano wa kuomba amani kati yao na 'geshi' la bholisi nchini... Kamanda amesikitishwa sana na chitendo...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hivi ni kweli kwamba baadhi ya wasichana siku hizi huwa wasafi wanapotafuta wanaume, wakipata tu ni shida utajuta kumjua. NI KWELI?
0 Reactions
7 Replies
983 Views
CNN Journalist: Russia was the first country to go to space and USA was the first country to land on the Moon. What will Africa do first? President Mugabe: We will be the first to land on the...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari wandugu. hivi hawa warembo wamepotelea wapi? lara 1 sioni akitupa ma stories humu siku za karibunu.. yaelekea kapata kazi mpya nini inayomkeep busy sana anakosa hata muda wa kuandika...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
1. Yupo katikati ya ngazi kasahau anapanda au anashuka. 2. Alikuwa kitandani akasahau analala au anaamka. 3. Kashika chupi kwenye magoti kasahau anataka kuvaa au kuvua. 4. Yupo chooni kasahau...
3 Reactions
15 Replies
6K Views
Kaniuliza dawa ya mswaki inauzwa wapi?? Mi nimeshindwa kumjibu... mwenye kujua basi... tumsaidie ndugu yangu hapa
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Waoh!! Kati ya jambo nililofurahia leo basi ni hili.. angelita, rafiki yetu kufikisha miaka kadhaa!! Ni jambo la kumshukuru sana Mungu haswaa kwenye Ulinzi wake mpaka hapo ulipofikia, Msichana...
4 Reactions
288 Replies
14K Views
Wapendwa, Namshukuru sana Mola kwa kuniwezesha kufika siku hii salama..leo nagonga 27 nikiwa na afya pia nguvu tele. Hakutakuwa na Bday party, inshallah mwaka mwingine tukijaliwa uzima...
13 Reactions
70 Replies
5K Views
Leo ndio siku iliyokua inasubiriwa kwa mwezi mzima hii ni tathmin fupi yangu ya leo yenye ukweli ndani yake sasa je....!! Hata ukinuna sura ni yako leo wamechinjwa vitoweo kama vifuatavyo...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Karibu wadau inawezekana tunapishana njiani au viwanja kama kibo, bahari beach, ndege beach, hisaje, fyatanga e.t.c. Mimi nakaa Tegeta jirani na bar ya BM. Pia napenda sana kuogelea hasa weekend...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa nini sasa kila mtu selfie
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ukipaliwa na chakula ulicholipia mwenyewe inaitwa bahati mbaya lakini ukipaliwa na chakula cha offer utaitwa mlafi
0 Reactions
0 Replies
891 Views
Natoa mafunzo ya urubani kienyeji kwa yeyote anayehitaji gharama ni nafuu na lugha ni kiswahili Karibuni
0 Reactions
108 Replies
13K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…