Kel-dizo
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 423
- 168
Katika khali isiyo ya kawaida jana katika kituo Mwanangati kwa Mfipa, mmasa aliyekuwa na silaha za jadi aligeuka kuwa kituko baada ya waliokuwa wamefoleni kuanza kukimbia wakidhani kuwa anaenda kuwashambulia.
Hata hakuwa na ugomvi na mtu ila alikuwa mpitaji tu wa njia ipitayo karibu na kituo hicho.
Hata hakuwa na ugomvi na mtu ila alikuwa mpitaji tu wa njia ipitayo karibu na kituo hicho.