Tafsiri ya ndoto hii, Hatariii!

nimeota nchi imepinduliwa na kuna jamaa ana upanga unang'aa kama mbalamwezi kaingia ikulu na kuanza kuchezea sharubu za JK
Cc.MOD
Mgekuwa mnapima IQ za watu kabla ya kuwa joined.Au mngelimit GB per member,then awe anaomba request ya extension.Maana hii sasa ni utoto
Kizazi cha facebook kuvamia huku basi imekuwa mtu akijamba tu anakuja na ushuzi wake humu.
Upuuzi mtupu
 
Ila kwa wanao amini ndoto hii ndoto kama kaota kweli basi na maana yake amini hivyo.....tena zaidi uzaniavyo usizalau udogo wa kichwa kina beba mengi...
 
Huo upanga mweupe kama mbala mwezi ni nywere nyeupe,wengine waendelee
 
Cc.MOD
Mgekuwa mnapima IQ za watu kabla ya kuwa joined.Au mngelimit GB per member,then awe anaomba request ya extension.Maana hii sasa ni utoto
Kizazi cha facebook kuvamia huku basi imekuwa mtu akijamba tu anakuja na ushuzi wake humu.
Upuuzi mtupu

wewe jamaa ni M.S.E.NGE post yangu nimeandika kama huna cha kuchangia si uache KAPIGWE NYUMA ULALE
 
maana ya ndoto hyo ni kwamba Kuna MTU anasilaha iwaumizao wanyonge lakn hufanya hivyo kwa kumlaghai kiongozi kwa vyenye kumfurahsha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom