Wana wa Arusha nisaidieni hili tafadhali

Wana wa Arusha nisaidieni hili tafadhali

kwani lengo la kufanya massage ni nn hasa? tukielewa hapo majibu yatapatikana
 
Unataka uone massage parlour mtaani!!! kwenye hotel zote za kitalii huduma iyo inapatikana Man.Anzia Naura
 
Mkuu lengo ni kupunguza ma stress na kuchangamsha misuli but as far as u know ile kazi inafanywa na wadada maridadi kweli kweli,ss kasichana kanakutomasa tomasa mwili mzima halafu mwisho wa cku kanakuacha bila relief yoyote,hapo si katasababisha ukatafute malaya fasta? ndo maana inanoga zaidi ukipata HAPPY ENDING,ss kwa arusha cjafanikiwa kupata hii mambo mkuu

kumbe ndo hicho unachotaka rudi dsm tu ukafaidi
 
Arusha hatufagilii mambo ya kwenda kukandwa na wadadazzz kwani kazi zetu zenyewe hazituachi na hamu ya kushikwashikwa!!

Hali ya hewa ya huku pia inatosha kwani hatuli chipsi mayai bali twala dona na sukumawiki....tukitoka machimboni twaja mimi kupiga moja mbili.....Pole sana mshikwaji.
 
Arusha kuna maadili, can't have hoes running your business. And downthere, a spade is labeled as one, and acts like one.
 
Massage nenda Snow Crest au pale Kibo Palace mkuu sijui bei mana sio mdau wa hiyo kitu
 
Arusha sio dsm wewe mboribo.nenda kakandwe kinondoni..huku tunapga kazi tukichoka tunajikanda na kitu flani iv amazing kinafuka moshi uletao Happy ending sweet moment..nusu bob Marley
 
Karibu
Arusha! Huku no u-mamamama... Huku ni mwendo wa supu na kiroba. Unataka kukandwa umekuwa chapati ww?
 
Halafu ulipata maradhi mnamsingizia shetani huku mkimlilia Mungu duuuh
 
lengo lako hasa sio masaj sema unaitumia kama kivuli
 
hili ni jiji la kitalii,ndio maana unakutana na sehemu za message za maana na so izo ulizozeaa za kichina
Hapa unakutana na vitu vyenye international standard
Kwaiiyo kama ujavikubali ulivyokutananavyo hapa arusha ujue bado upo nyuma
 
Back
Top Bottom