Foleni za BVR kuna watoto wakali

Foleni za BVR kuna watoto wakali

mwita ke mwita

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2010
Posts
8,070
Reaction score
3,792
Wadau,

Huko mlipo tunaomba updates za watoto mnaowaona kwenye foleni za BVR wakali ama huku ninakoandikishwa naona kama watoto wa geti wamefunguliwa.
 
Ha ha ha ha umetisha mkuu yani me mwenyewe katika kila mkusanyiko unaohusisha jinsia mbili lazima niangalie totoz bn
 
Nauhakika utakuwa kwenye foleni siku zote 12, na za nyongeza hata baada ya kujiandikisha!
 
Sinza nimepata namba ya simu toka kwa demu mmoja ktk foleni ya BVR, nilimwambia ikikaribia namba yake nitamtonya! Hiyo ilikuwa ijumaa, saa hizi tunachat na kuna kauelekeo nikatawanya miguu. Tena alikuwa mfungo wa ramadan, naona kalimbikiza kila kitu maana nimemlainisha na meseji na kuongea ktk simu sasa kafunguka balaa! Imenifanya niamini kuwa kumbe mademu wengi wanatembea na minyege sana barabarani.
Hii BVR waongeze tu muda watu tuneemeke.
 
Vijana bhana....haya ndo msemo wenu damu inachemka au
 
Sinza nimepata namba ya simu toka kwa demu mmoja ktk foleni ya BVR, nilimwambia ikikaribia namba yake nitamtonya! Hiyo ilikuwa ijumaa, saa hizi tunachat na kuna kauelekeo nikatawanya miguu. Tena alikuwa mfungo wa ramadan, naona kalimbikiza kila kitu maana nimemlainisha na meseji na kuongea ktk simu sasa kafunguka balaa! Imenifanya niamini kuwa kumbe mademu wengi wanatembea na minyege sana barabarani.
Hii BVR waongeze tu muda watu tuneemeke.

hapo kwenye kuongeza muda nakusapoti tena kwa asilimia zote
 
yani hadi hili zoezi linafikia ukingoni minatoka na mke zao bvr

Mie nmefurai kuona kuku wa kienyeji aisee vimetuliaaaaa yaan unaokota tu huku uswazi. Unajua ni labda ukutane nao ngomani au kwenye mikusanyiko kama ya BVR
 
Sinza nimepata namba ya simu toka kwa demu mmoja ktk foleni ya BVR, nilimwambia ikikaribia namba yake nitamtonya! Hiyo ilikuwa ijumaa, saa hizi tunachat na kuna kauelekeo nikatawanya miguu. Tena alikuwa mfungo wa ramadan, naona kalimbikiza kila kitu maana nimemlainisha na meseji na kuongea ktk simu sasa kafunguka balaa! Imenifanya niamini kuwa kumbe mademu wengi wanatembea na minyege sana barabarani.
Hii BVR waongeze tu muda watu tuneemeke.

Teh teh teh eti kuna kauelekeo nikatawanya miguuuu
 
Mie nmefurai kuona kuku wa kienyeji aisee vimetuliaaaaa yaan unaokota tu huku uswazi. Unajua ni labda ukutane nao ngomani au kwenye mikusanyiko kama ya BVR

hii ni neema isiyo nakifani mkuu
 
Back
Top Bottom