Wakati Bank moja inavamiwa nikapiga 112 nikajibiwa "Karibu jeshi la Police TZ kitengo cha dharura for Kiswahili press 1 for English press 2", nikabonyeza 1 Sauti ikasema "Kwa ajali za barabarani...
Huyu dada sina hata urafiki nae wala sijawai kumtongoza lakini!!!kila mwanaume anaemtongoza anamwambia yupo na Pedra buyer ndio mpenzi wake hivyo hana sababu ya kuwa na mwanaume mwingine hadi kwa...
Habarini za asubuhi!
Natumai nyote mmeamka salama, Mimi nipo tayari kwa majukumu ya leo, yangu binafsi na ujenzi wa taifa langu pia.
Hii itakuwa ni sehemu yetu ya kuamshana mapema kuwahi foleni...
Mbele yetu tunaelekea kwenye sherehe moja kubwa sana, sherehe hii itafanyika baada ya ukawa kutangazwa washindi katika kiti cha urais, sasa nimekuja kwenye jukwaa hili kutafuta binti wa kufanya...
Nawashuku nyote kwa kampani ya kutosha japo ya muda mfupi katika uzi wangu wa kichina.hahahaa
Cc~ Mr Hero DuppyConqueror Elli izzo idoyo Michael Matitu Preta marejesho na Chiu
Mbarikiwe.
Poleni na majukumu ya hapa na pale ya kutafuta mkate wa kila siku.
Kuna kisa kimoja nakumbuka ilikuwa mwaka 2000 nilimuaproach manzi mmoja uko kijijini, mtoto alikuwa mzuri sana na alikuwa bado...
Kodi ya nyumba ni moja ya vitu vinavyowanyima amani na usingizi wapangaji wengi duniani. Lakini wakishalipa kodi ya miezi sita au mwaka, miondoko ya wapangaji wengi mbele ya mwenye nyumba huwa...
Mambo vipi ndugu,
Huyu jamaa wa kuitwa Musa allani napenda kumpongeza kwa ujasiri wake wa kuamua kumpa sapoti raisi wetu mtarajiwa ndugu ENL kupitia umoja mtakatifu UKAWA.
Kipenzi cha watoto...
Nilipewa mtihani wa kumchekesha jamaa mmoja ambaye hajawahi kucheka toka azaliwe. Nikawaza, nifanyeje hadi acheke!?
Nikamfuata jamaa nikamuuliza ni chama gani kitashinda mwaka huu akasema ni...
Habari za mchana wanajamvi.
Kichwa cha habari hapo juu chajieleza.
Mwezi wa 10 mwaka huu mwizi wa siku nyingi ajulikanaye kwa jina CCM atazikwa rasmi.
Kutokana na msiba huo naomba mwenye...
CHEKA KIDOGO
Majambazi waliliteka gari moja lililokuwa limesheheni abiria. Baada ya abiria kusachiwa na majambazi hao na
kukutwa hawana pesa, majambazi wakasema kila mtu atapigwa viboko ( bakora...
Mwalimu mkuu alitembelewa na wageni idadi kadhaa, akawapa viti pia idadi kadhaa, wakaamua kukaa kama ifuatavyo:
Wakikaa mmoja mmoja kwenye kila kiti mgeni mmoja anakosa kiti,
Wakikaa watatu...
Kauli mbiu tata za uchaguzi Mkuu huu 2015.!!
Ccm.. tutashinda hata kwa goli la mkonooo___
√ Ukawa-Bao la mkono mwisho bafuni, mtaa kila mtu Lowasa.
Ccm ikulu anaingia john pombe...
Mimi binafsi ingawa zipo scene nyingi sana sana sana zilizonigusa kwenye ile series ila tukio lililobahatika kuingia hapa ni pale agent Bauer alivotoa sadaka maisha ya Paul Raines ili aokoe maisha...
Mheshimiwa Mwenyekiti tume ya uchaguzi,
Wapo vijana wanapiga kelele sana kwamba siku ya uchaguzi watataka kulinda
kura zao.
Mh jaji Lubuva, wasaidie hawa vijana kulinda kura zao. Ni rahisi sana...