Kutoka wapi
Weka picha ya pikipiki utakayoitumia.....ili ushauriwe vizuri.
Mikumi ya kwako
Mkuu iyo chap mara moja toa shaka congo yako
Congo Forest hakuna barabara au pikipiki yako inapaa?
mkuu ni honda cc 2000
natokea hapa iringa
honda cc 2000 sijawahi isikia,kwanza cc 2000 kwenye pikipiki itaaje?
inshalaha mkuu mungu atajalia safari yangu
K.a.firi utamjua tuinshalaha ..
Tahadhari muhimu maana