Jirani anaboa na hii song haramu

Jirani anaboa na hii song haramu

Sirdirashy

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
3,252
Reaction score
3,074
Toka alfajiri viva viva, umeme umezimwa ukarudishwa tena, viva ROMA viva, repetition zaidi ya mara 400. Polisi njooni mfanye kazi yenu, sauti mpaka mtaa wa nne.
 
Unanisema nini ila si mimi maana umeme haujakatika hapa,viva roma chumbani,sebuleni,chooni,garini na pia baoni
 
Back
Top Bottom