Nilijuta kukutana baa na huyu jamaa

Nilijuta kukutana baa na huyu jamaa

Totos Boss

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2012
Posts
5,454
Reaction score
1,569
TAJIRI: Lete bia na kila mtu mpe yake mimi nikinya na watu wote wanye
WATU: Ndiooooooooooooooo waukweli
TAJIRI: Lete mchemsho na kila mtu mpe wake mimi nikila watu wote wawe wanakula
WATU: Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii pesa inaongea
TAJIRI: Choma mbuzi nusu na kila mtu mchomee mimi nikitafuna watu wotw wawe wanatafuna
WATU: Aminiaaaaaaaaaaaaa babake
TAJIRi: Lete bili hapa na kila mtu mpe yake wakati nalipa watu wotw wawe wanalipa
WATU: Tooooobaaaaaaa ukila vya watu na vyako huliwa.
 
Back
Top Bottom