nzalendo
Platinum Member
- May 26, 2009
- 13,093
- 15,209
Tupige kampeni hata za MTU kwa MTU ,Jana nilikuwa NA Mchepuko mazungumzo yalikuwa kama ifuatayo. Mimi. Baby umejiandikisha?!
Mchepuko: ndiyo.
Mimi: baby unanipenda?!
Mchepko: ndiyo nakupenda we Tena.
Mimi: unapenda tuish maisha gain baadae?!
Mchepko: maisha mazurii kabisa baby.
Mimi: baby unampigia nan kura mwaka huu?!
Mchepuko: mimi sipendi siasa baby hata sjui.
Mimi: nakuomba umpigie LOWASSA KAMA UNAHTAJI TUISHI MAISHA MAZURI BAADAE.
(muda huo nimemkumbatia)
Mchepuko: kwan lowassa atatuletea maisha mazuri?!
Mimi: mpenz wangu sina uhakika WA ajira, watoto wetu hawana uhakika WA kuja kusoma, baby mapenz yetu yataisha bcoz bila ajira sitaweza kukuhudumia, baby hata usome sana CCM wanapeana nafasi za kazi kwa undugu, huoni ridhiwan, huon mgimwa na makamba.
BABY LOWASSA AMESEMA ELIMU BURE MPAKA CHUO KIKUU, AJIRA KWA VIJANA,
alafu baby serkal ya LOWASSA ITAKUWA NA WATU MAKINI MFANO. Tundu LISSU, LEMA, MSIGWA, PRO SAFARI NA LEMBELI NA MBATIA NA WATU WENGINE WALIOTUTETEA TANGU ZAMANI.
MCHEPUKO: OHHH baby umemsahau kamanda MBOWE namkubali sana.
mimi: ehhhh baby mbowe in zaid ya binadamu anania njema NA sisi.
Mchepuko: baby nitampigia kura lowassssaaaaaaaa
Kwanza tu anamuonekano mzuri.
Mimi: ok baby wambien NA rafk zako BA's ,wambie LOWASSA NDIE CHAGUO LA WATANZANIA WOTE.
( # sambaza by fycom MUSUMI.)