Magufuli katika love

Malaika Mkuu

JF-Expert Member
Nov 5, 2014
901
907
Tupige kampeni hata za MTU kwa MTU ,Jana nilikuwa NA Mchepuko mazungumzo yalikuwa kama ifuatayo.

Mimi. Baby umejiandikisha?!

Mchepuko: ndiyo.

Mimi: baby unanipenda?!

Mchepko: ndiyo nakupenda we Tena.

Mimi: unapenda tuish maisha gain baadae?!

Mchepko: maisha mazurii kabisa baby.

Mimi: baby unampigia nan kura mwaka huu?!

Mchepuko: mimi sipendi siasa baby hata sjui.

Mimi: nakuomba umpigie MAGUFULI KAMA UNAHTAJI TUISHI MAISHA MAZURI BAADAE.

(muda huo nimemkumbatia)

Mchepuko: kwan MAGUFULI atatuletea maisha mazuri?!


Mimi: mpenz wangu sina uhakika WA ajira, watoto wetu hawana uhakika WA kuja kusoma, baby mapenz yetu yataisha bcoz bila ajira sitaweza kukuhudumia, baby hata usome sana CHADEMA ni watu wa kaskazini na wanapeana nafasi za Kazi kwa undugu, huoni mikopo ya bank zenye kiongozi mchagga na chadema uongozi wake ulivyo

BABY MAGUFULI AMESEMA ELIMU BURE MPAKA KIDATO CHA NNE, MIKOPO KWA WANAFUNZI CHUO KIKUU, AJIRA KWA VIJANA, NA SERIKALI YAKE ITAKUA YA VIWANDA

alafu baby serkal ya MAGUFULI Itakuwa na mfumo mpya wa utawala na Atakiimarisha na kuboresha chama cha mapinduzi. MAFISADI na majizi yote hayana nafasi tena


MCHEPUKO: OHHH baby umemsahau mama Samia namkubali sana.

mimi: ehhhh baby CCM imetuonesha mabadiliko chanya hasa kwa upande wenu kinamama. Mmpata mtu anayezitambua shida zenu moja kwa moja bila kuhadithiwa.

Mchepuko: baby nitampigia kura MAGUFULIIIIIIIIIIII

Kwanza tu anamuonekano mzuri, mtanashati Na yupo imara sana.

Mimi: ok baby wambie NA rafk zako Basi ,wambie MAGUFULI NDIYE CHAGUO LA WATANZANIA WOTE.

#HAPA KAZI TU## 👍👍👍👍👍
 
Inaonekana zinaeditiwa kuna mjinga mmoja kanitumia ambayo inamhusu Lowassa
 
Naona UBAGUZI wa kikanda umekuziba MACHO na MASIKIO.Ningewaomba wote maowachukia wa KASKAZINI akija MAGUFULI mwambie atupatie mahali pa kuishi.Tutashukuru sana,maana ukiwa CCM na umetokea KASKAZINI unakuwa MKWERE.

Lakini angalieni UBAGUZI ni kama kula nyama ya mtu,mla nyama za watu huwa haachi,hii dhambi itawatafuna sana.

Na hakika itaanzia huko huko kwenu.
 
Inaonekana zinaeditiwa kuna mjinga mmoja kanitumia ambayo inamhusu Lowassa

Kaka ukiona hivyo wameishiwa kabisa,imagine Mzee wa miaka 54,anayekaribia kustaafu kuna kitu kipya atakacho kileta kwenye kazi????
 
mmmh baby wako na uitanashati wa magufuli nimebali kucheka loh mwonekano upi alokuwa nao. Bas kama watu watapiga kura kwa kubase kwa mwonekano lowasa tangulia ikulu kura zitakufata uko.
 
Kufanya ukahaba ni sifa kwenye c.c.m? Kusaliti ndoa kwenye chama chenu ni jambo la kawaida? Halafu kahaba kama wewe ndo mpiga kampeni wa magufuli? Ndege wafananao huruka pamoja, huenda na yule unayempigia kampeni ni mzinzi mwenzako na ndiyo maana ukimuuliza we magufuli unawatoto wangapi?

Anakwambia nina watoto kadhaa, yaani kutokana na uzinzi wake anawatoto wasio idadi, kwa kigezo hicho tu dini yangu hairuhusu kumfanya awe kiongozi wangu mtu mzinifu.
 
DINI Yangu Hairuhusu Kuchagua Chama Kinachoona Ufahari Dhambi Ya Uzinifu,kusaliti Ndoa. WATAWAPIGIA KURA MAKAHABA WENZENU, NA NDO MAANA HATA MGOMBEA WENU HATAJI IDADI YA WATOTO WAKE,ANAISHIA KUSEMA ANAWATOTO KADHAA, SK MKIMPA NCHI ATAWALETEA WATOTO HAMSINI TAIFA LIINGIE GHARAMA ZA KULEA WATOTO NA MAMA ZAO HAMSINI. Wazinifu Wapigieni Kura Wazinifu Wenzenu. BINAFSI DINI YANGU HAIRUHUSU.
 
Ccm inawenyewe jaman ninyi wengne hakuna kitu zaid ya kukalia neno hapa kazi tu.wenye chama akifa baba au mama anapewa mtoto au mjomba.We mwenzangu nafac yako ni maneno ya hapa kazi tu.
 
Back
Top Bottom