Hahahaha Mzungu mwenye mwanya

Hahahaha Mzungu mwenye mwanya

magicianboy

Member
Joined
Jun 18, 2012
Posts
57
Reaction score
24
Jamani..

Baada ya uchunguzi wangu wa muda mrefu nami nimelileta kwenu,, sijawahi muona Mzungu mwenye mwanya, utafiti unanifanya nianze amini huu ni ugonjwa wa Afrika tuu. Je, we umewahi muona Mzungu ana mwanya? Hahaha msinchukie wenye mwanya, natania tuu
 
Mi sijawahi kuona, na najua hawapendi aina hiyo ya dental formula
 
Wazungu hapana,ila latino america na africa kawaida sana kuwa na mwanya
 
Arnold Schwarzenegger
 

Attachments

  • 1444069893835.jpg
    1444069893835.jpg
    50.5 KB · Views: 315
Wapo wengi,tatzo wazungu wenyewe kuwaona hadi ucheck movie
 
Back
Top Bottom