Dem anishobokea kwenye simu

Dem anishobokea kwenye simu

Joweba

Senior Member
Joined
Aug 13, 2015
Posts
166
Reaction score
87
Jamani e! Naombeni ushauli wenu, maana kuna uyo msichana hajawahi kuniona wala mie kumwona lakini anajishobosha kwenye simu, isitoshe ni mdogo ake lafiki angu.
 
Inamaana na ww nikaka mfanye km mdogo wako bas uskute anakutteat km kaka yake ila ww unafikiria kwengine
 
acha umbea Jimena, nawew unakuw kam uyu mdogo ake jamaa angu xio?

Sio umbea Joweba nakushangaa unavyoleta stori za darasa la tano kana kwamba sisi ni watoto wenzio
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom