Mbona unalialia?

marine 1

Member
Jul 29, 2015
60
67
Wakuu poleni kwa miangaiko na mishe mishe za kampeni iliyoisha hivi punde.

Leo baada ya mkutano ulioisha hivi punde huku kanda ya ziwa, Lile tangazo la Mangi na mteja wake limepata umaaarufu mkubwa.

Wadau wanasema eti " Mkulu wa Kaya" analia lia na Mh Edo. Alikuwa wapi mpaka leo, na kwann hakuchukua atua ilhali aliufahamu ukweli?
 
Back
Top Bottom