K K 4 LIFE JF-Expert Member Joined Jul 21, 2015 Posts 2,567 Reaction score 419 Sep 11, 2015 #1 wakuu nipo bagamoyo nakula bata karibuni wandugu wa jf
T TheDealer JF-Expert Member Joined Nov 19, 2012 Posts 2,424 Reaction score 1,133 Sep 11, 2015 #2 Tupo siasani sasa hv tunahangaika kuwatoa kunguni
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,917 Reaction score 7,124 Sep 11, 2015 #3 weka picha
Mu-sir JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 3,621 Reaction score 1,645 Sep 11, 2015 #4 Hujaenda Kongo??? Na umetoka iringa lini?? Bakiza mayai yatakusaidia kesho
M mwimbule JF-Expert Member Joined Feb 25, 2009 Posts 587 Reaction score 290 Sep 11, 2015 #5 Endelea kula bata , naona wewe ni mmoja kati ya wachache ambao mmefaidika na mfumo Wa Mzee wa Kasi mpya, ari mpya na nguvu mpya.
Endelea kula bata , naona wewe ni mmoja kati ya wachache ambao mmefaidika na mfumo Wa Mzee wa Kasi mpya, ari mpya na nguvu mpya.
Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,152 Reaction score 10,683 Sep 11, 2015 #6 chondechonde.... bata hailiwi bagamoyo
Iron Lady JF-Expert Member Joined Mar 4, 2008 Posts 4,071 Reaction score 1,382 Sep 11, 2015 #7 sasa tujadili nini ndugu unavyokula bata au tufanyaje
Mu-sir JF-Expert Member Joined Oct 12, 2010 Posts 3,621 Reaction score 1,645 Sep 11, 2015 #8 Janjaweed said: chondechonde.... bata hailiwi bagamoyo Click to expand... Bata yaliwa Dubai ati
witnessj JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 28,830 Reaction score 47,774 Sep 11, 2015 #9 Bata batani...vipi shisha ipo?
afma. Senior Member Joined Aug 22, 2015 Posts 159 Reaction score 15 Sep 11, 2015 #10 K 4 LIFE said: wakuu nipo bagamoyo nakula bata karibuni wandugu wa jf Click to expand... Sorry nataka nihamie bagamoyo hususa chalinze vp ofisi za halmashauli zi pande zp mi nipo dom
K 4 LIFE said: wakuu nipo bagamoyo nakula bata karibuni wandugu wa jf Click to expand... Sorry nataka nihamie bagamoyo hususa chalinze vp ofisi za halmashauli zi pande zp mi nipo dom
mxsdk JF-Expert Member Joined Aug 11, 2014 Posts 3,584 Reaction score 2,056 Sep 11, 2015 #11 So,tukusaidie nin?
P permanides JF-Expert Member Joined May 18, 2013 Posts 12,485 Reaction score 15,298 Sep 11, 2015 #12 Ila angalia huko usijifunze uganga ukarudi nyumbani na tunguli
HARUFU Platinum Member Joined Jan 21, 2014 Posts 31,702 Reaction score 48,146 Oct 23, 2015 #13 Last edited by a moderator: Jan 4, 2016