Unaangalia EATV (Ukawa) au TBC and other TVs(CCM)?

Unaangalia EATV (Ukawa) au TBC and other TVs(CCM)?

nimegawa screen yangu ya TV two sides..Side moja ukawa ingine Ccm kama kuna chama kingine kinarusha niambie ni search ni add side ya tatu
 
Itabidi ninunue kingamzi kingine hawa Dstv nakosa uhondo bana! sasahivi kila ukifungua local channels nakutana na haya marangi ambayo sitaki hata kuyaona!
 
Eatv Tunakula vitu, kikwete anapewa tahadhali. Kutoka kwa Mh Mbatia
 
EATV ndio kuna habari, kule kungine ni zilipendwa
 
EATV TU,nami nasema tuangalie EATV kwa sababu Hakuna namna nyingine.
 
Back
Top Bottom