Mungu ananena na mimi

Mungu ananena na mimi

Xperience

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2012
Posts
278
Reaction score
51
Kuanzia 2008 hadi leo. Naisikia live sauti yake mpaka nimekata tamaa. Nimejikabidhi kabisa kwamba sasa ni motoni confirmed. Na hiyo ni mimi peke yangu. Huu ndio utaratibu mpya wa mungu. Mimi nakuambia. Nikimuambia mbona watu wana dhambi kama wengine ananiambia eti watu wana akiili ya kuiba pesa na kufanya biashara kubwakubwa. Nimejua dunia haina haki. Wengine wanasema hiyo ni Falsafa ya LIVE YOUR LIFE. Nimechaguliwa nitumike kuiokoa dunia. NA mimi nasema wazi kuwa dunia haina haki.
 
Umejuaje kama hiyo sauti ni ya Mungu? Umetumia vigezo gani kuijua?
 
Back
Top Bottom